Search

58 results for Jonathan Musa :

  1. Mnyukano uchaguzi CCM

    Joto la uchaguzi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) limeanza kupanda, baada ya majina ya vigogo na watoto wa wakongwe wa chama hicho kujitosa kuwania nafasi mbalimbali.

  2. Serikali yaja na ufumbuzi kupanda kwa mbolea

    Serikali imekuja na njia tatu za kukabiliana na changamoto ya kupanda kwa bei ya mbolea ili wakulima waweze kuzalisha kwa wingi.

  3. Maandalizi ya Sensa yaanza

    Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk Albina Chuwa amesema maandalizi ya sensa ya sita nchini yanaendelea kama ilivyopangwa.

  4. Neno la Dk Gwajima wakati wa uzinduzi wa baraza jipya la NaCoNGO

    Waziri wa afya, maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto, Dk Dorothy Gwajima amelitaka baraza la Taifa la mashirika yasiyo ya kiserikali (NacoNgo),kuitisha uchaguzi kwa wakati ili kuzuia...

  5. UCSAF yawaondolea hofu wakazi wa mipakani

    Waziri wa mawasiliano na teknolojia ya habari Dk Faustine Ndugulile amesema Serikali kupitia mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF) imefanikiwa kufikisha huduma za mawasiliano ya aina mbalimbali...

  6. NaConGO yaja na viongozi wapya

    Baraza la Taifa la mashirika yasiyokuwa ya kiserikali (NaCoNGO) limetangaza viongozi wake wapya huku likiwa na matarajio ya mageuzi mbalimbali.

  7. Ndugai: Viongozi msilewe madaraka

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka viongozi kuwa makini kwenye nafasi zao na wasilewe madaraka.

  8. Majaliwa aonya barua za Serikali kusambaa WhatsApp, Instagram

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema imeibuka tabia ya barua za ofisi za Serikali kuonekana mitandaoni akitaka taarifa hizo kuwa siri.

  9. Waziri Ummy awafunda wateule wa Rais Samia

    Waziri Ummy Mwalimu anasema kutakuwa na vikao kazi kila robo ya mwaka vya kufanya tathimini ya utendaji kazi ambavyo pia, vitawasaidia mawaziri kutambua ajenda zinazotakiwa kufanyiwa kazi.

  10. Mchengerwa atoa darasa kwa Ma – RC kukaikabili rushwa

    Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amesema adui mkubwa wa nchi ni tatizo la rushwa.

Page 1 of 6

Next